Loving you Mahondaw

Wataniiba vipi na hawanijui,wewe wanakujua huko,tena vizuri tu.

Sio utani(inabidi unieleze hili jambo,kwanini napata maswali yako private?una agenda gani na hawa watu?)
Nitakutafuna hayo macho,na vile siwezi kufaidisha watu tu hapa kwa malalamiko.
For real hata mimi unanichanganya.

How comesπŸ˜•? Itabidi unitumie nione
 
Yani liuzi la kimalaya linapata comments nyingi hivii wakati uzi wangu wa maswala ya biblia una comments tatu.

Hili nalo mkalitizama.
🀣🀣🀣🀣!

Peponi tutaenda mi na Smart911 kwakua sio wanafiki na naamini hata shetani atatutetea tu wengine wote na unaa wenyu motoniiii🀠🀠!
 
Umenifanya nikague ID's pamoja nakujiangalia kwenye kioo,kumbe mimi bado kijana kabisa kabisa,mwenye nguvu za kumwaga.

Kwahiyo,ulivyosema nichangamke hapa JF nawe unataka kuona ndugu yako nikipata stroke?,kukonda,pressure na wenda wazimu?
sasa vyote hivyo unavipataje wakati unasambaza mahaba kwa umpendae au ulishapindua meza
ID's hazina uhalisia wowote
hizo nguvu za kumwaga angalia usijemwaga ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…