We Nuzulati vipi,Mtu lazima aonje na matembele,bamia sio Kila siku mchicha🤣🤣🤣🤣Mimi nishakwambia kanuni yangu ni moja nikisikia,nikihisi,nikijua una baby humu mimi na wewe kushineiii,Mapenzi ya nenda rudi siwezi 🏃🏽♀️
Sawa sawa…Kwa sasa hali ya hewa ni moderate, hamna mafuriko, hamna jua.
Mmmmmh na ukifanya hivyo nitakurudisha unyagoni msataaaa🤣😂😂😂 Sinaga hizo, nimefundwa nikafundika dada..!!
🤣🤣🤣🤣Kuwaka ni kulewaKuwaka ndio kufanyaje? Mbona niko nimelala tu hapa, giza ni kali.
Mimi kanuni yangu ni moja Usaliti kwangu hauna msamaha 😁😁We Nuzulati vipi,Mtu lazima aonje na matembele,bamia sio Kila siku mchicha🤣🤣🤣🤣
Nini tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Nimejikuta uvumilivu umenishinda Smart911 naomba nicheke kwanguvu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭!
Kanywa safari anataka kujua miandiko ya watu 😂😂😂Kanywa Nini Leo mbona mpole sana?Kila nikimchokoza hata hanichambi?
Mmmh we nae huna lolotee🤣🤣🤣🤣unampenda tu huyo bwana ako kizembezembeSmart911 anajua ninachocheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie ushawahi fikiaga point of no uvumilivu????? Ndomie sasa nimekabwa na kicheko mpaka nimeshindwa kuvumilia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Mnachekesha comments zenu 😁😁Niombe msamaha walahi sikusamehi mpaka ueleze vizuri imekuwaje umenishushia heshima ukanita msenge kama ulikuwa hutaki ungenitania tu ukaniambia kitu kingine sio tusi kubwa hivyoo . Nakuniambia tu huyo mtu sipo naye kanichefua basi simtag tena mie nafanya tu utani
Huyu Binti yako muweke kwenye maombi🤣🤣Nini tena🤣
Mmmh we nae huna lolotee🤣🤣🤣🤣unampenda tu huyo bwana ako kizembezembe
Tena na viboko unichape 😂😂Mmmmmh na ukifanya hivyo nitakurudisha unyagoni msataaaa🤣
Kwani kumpenda ni kosa???Mmmh we nae huna lolotee🤣🤣🤣🤣unampenda tu huyo bwana ako kizembezembe
Ila na wewe unajizimaga data penzi likinoga,,sema ni vile shemeji namkubali miaka buku..,,Yuko wapi kwanza🤣🤣🤣Tena na viboko unichape 😂😂
🙆🙆🙆🙆🙆🤣🤣🤣🤣🤣TukomesheeeeeKwani kumpenda ni kosa???
Teeeenaaaahhh nampenda sanaaa I love him moree moreee 💕💕!