Shemeji yako yule ooh!! Yule hakuwa vile mchugga yule, sema kapenda mzaramo ndio hivyo nisipokuwepo anatoa summary sio shida zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante sana nimepokea salamu.Hajamboo sana sema hukuwepo siku mingi ila anawasalimia wote wanaonipenda
hiyo lugha ya malkia umeniacha njia pandaFolks can be real pieces of work...no sugarcoatin' it, Lakini tuko mwezi wa mahaba,Anza wewe.
πAnawarusha roho wenzake
Mi sipindui naua kabisa atakayemsogelea baby wangu ππππhahahaa nilipewa woningi mapema kabisa dyadya[emoji23][emoji23] alf alisema yeye hamuogopi mtu yyte huku ko issue kama anaifahamu hawez kushindwa kusema kikubwa awe kwenye mudi[emoji38][emoji38]
Inawataka humu serious ??Asante sana nimepokea salamu.
Hivi huwa unafanyaje fanyaje kupata babΓ¨β€οΈhumu jf?
Wengi nasikia sina uwakika alikuwa wengi wanampiganiaπ
Sema wanaume sisi
Jamaa anamchora tua kama ni kweli amechukua account ya jamaa
Sijui ni nani alikua mpinzani ila leo jf ni kama ile siku chama langu simba lilivopigwa mkono
Palikua hapakaliki humuππ
Mi mkinga sijaribiwi π€£π€£π€£Shogaangu punguza umbea π π π
Ila bora umetoa summary Kuna vitoto vya chuo humu vimejiunga jf juzi wasijeruka na shem wetu
Tutawaotesha mabushaa
Mi sipindui naua kabisa atakayemsogelea baby wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mtata ndivyo alivyo, jeshi la mtu mmoja
ππ
Valentine watatuletea kivideo kabisaMi mkinga sijaribiwi π€£π€£π€£
Moyo wangu uko pale ooh!!
Ila umbea wa leo mtraaamuu.!!
Bado valentine nasubiri nione wapendanao miye
Hapaaaaaaaanaa (in mkojani voice)jamn dada ndo uanze kututisha mapema yote hii[emoji38][emoji38][emoji38] kizuri kula na nduguyo bwana,, mbon wakina nanii walishare na bado wanavuta hewa safi na life linasonga
Hakika MkuuKila la heri kwao, mapenzi matam sana mkikutana mnaopendana kwa dhati.
Tunasubiri connection siye π€£π€£π€£Valentine watatuletea kivideo kabisa
Vidole havina macho,nisamehe tu..!hiyo lugha ya malkia umeniacha njia panda
kwann mimi na si wew
Sasa mbona hujibu maswali ya msingi madam?Mko spidi sana aseee nishazeeka mie kureply fasta siweziiiii!π
Thank you for choosing me Smart911 pamoja na mapungufu yakooo yooote najua na nina uhakika wanawake wengi sana wanakukubali tena wazuriiiii waremboooo wa so called mujini yess wanajiita wa mujini but you chose and come back to your kimimiiiiiiππππππππ!
What a blessing!!
Zile vuruguuu maneno yote kuhangaikaaa kuzunguka ni results ya maumifuuuuuu you caused me mpenzi wangu I was so hurt
I'm so sorry babeeee ππππππππππππ!
Love you smart wanguuu!