Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,056
- 184,768
- Thread starter
- #2,501
Katika siku hii ya wanawake ya Duniani, napenda kusema kwamba wewe ni mwanamke mwenye nguvu fikra, ujasiri, na upendo wa hali ya juu..
Mahondaw wangu wewe siyo tu mpenzi wangu bali pia, faraja yangu katika kila changamoto, furaha au huzuni...
Mahondaw unapoadhimisha siku ya wanawake Duniani, ninapenda kukuonesha heshima yangu ya kipekee kwako, kwa kila kitu unachofanya na kwa kua mwanamke mwenye thamani isiyo na kifani...
Ujasiri wako wa kukabiliana na vizuizi, dharau, kejeli, makasiriko, chuki, lawama, hekima yako pekee ndiyo imekufikisha hapa kamwe usije ukatoka nje ya mstari, simama au simamia unachoamini...
Mahondaw wangu mapenzi yake ya dhati vinanifanya kujivunia kuwa na wewe kila siku...
Nakutakia siku ya leo na kila siku zijazo ziwe zenye thamani kwako, nakutakia furaha na mafanikio...
Nakupenda 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Mahondaw