Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,353
Hii ni uongo bra kuna kamtu akisema basi unauza maduka yote kariakoo unahama nchiWakuu nikifika hii hatua mnipige hadi nizime....then mnifunge jiwe mkanitupe baharini familia wataokota mabaki ya mwili wangu watauzika
Muda SASA nawewe ufufue viporo...Kila la heri kwao, mapenzi matam sana mkikutana mnaopendana kwa dhati.
Kwa saut ya smart ake kimieee!Asante kwa taarifa
Weee usiniambieCoca hana raha alimchambaga shemeji yake π€£π€£π€£
Babe kumbe wewe wa zamani na husemi πππ€£πππ Maua tulia
Mkuu,Muda SASA nawewe ufufue viporo...
Eee ndo hivo wifi yangu, nasikia coca alimuita shemeji yake sele wa mbosso eti πWeee usiniambie
Mlete ela nitalipa akijaNipe elaaππ
π€£π€£We nae eb kapalilie mashamba yako ya bangi kikatiti .....yaaan mapenzi kwangu ni ππ tu mengn apanaHii ni uongo bra kuna kamtu akisema basi unauza maduka yote kariakoo unahama nchi
nashukuru binti yangu kwa taarifando mida hii
Hahahaha, Hebu pitiamo ujionee bana. Sisi wa pwani tunasema jini kafungiwa chupaniSijapita, kuna nini?
ππππAcha utani bhanaEee ndo hivo wifi yangu, nasikia coca alimuita shemeji yake sele wa mbosso eti π
Maua unanitoa kwenye uwepo tuliaBabe kumbe wewe wa zamani na husemi πππ€£
Then umeamua kuishi kwa kuteseka maisha yako yote au mpaka utakapoamua kubadili mtazamo.Mtaachana tuu..
Sipendi kabisa nikiona kijitu chochote kina furaha,
Kinachonifanya napata nguvu ya kuishi na kusonga mbele ni nikiona watu wanateseka.
Mchukue wifi ananisumbua π€£π€£π€£π€£π€£We nae eb kapalilie mashamba yako ya bangi kikatiti .....yaaan mapenzi kwangu ni ππ tu mengn apana
Twende nikakuvutishe bangi nikupalilie huko nikutupe barabarani sitaki vitambi mie mtu mweusi kama kiwi,kichwa kama madengeπ€£π€£We nae eb kapalilie mashamba yako ya bangi kikatiti .....yaaan mapenzi kwangu ni ππ tu mengn apana