Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Basi huenda tunatofautiana kimtazamo.

Sasa huyu unamgeuzaje kwa hivi alivyo
Mtazamo wa kingono ndo unakufanya usione huyo ni mwanamke.

Ukijua utofauti wa jinsia na jinsi , Sex and gender ila ndo hivyo .

Kama mwanaume anaweza kulala na Malaya wa kimboka , akalala na kichaa n.k atashindwa vipi Ku have sex na mtunisha misuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…