Hahahhahahahahaahahhahahahahahaa usiseme maji sema kanywa maji mengi. Mbona ni hatari kwa staili hiiHahahahakweli kanywa lita million 1 za maji ya Dawasco hahahhahahView attachment 347563
Jitahidi mzee utuletee humu ili nami nitoe maoni yangu, naisubiri.Af huyu diva hadi kuna picha yake moja hv mbaya sana ilishawahi trend mtandaoni miaka ya 2012. Mbaya sana ile
Bro ni mbaya sana. Af ni ya kitambo ili trendJitahidi mzee utuletee humu ili nami nitoe maoni yangu, naisubiri.
Ha ha haMna mafaili ya watu mezani?
dah kweliHuyu dada kwa sisi tunaomjua tunajua alivyokuwa now days anajishauwa lakini enzi hizo wakati anatoka na pingu wa alikuwa mbovu sana kipindi kile anatokea kwenye video ya Joanith kama Video Queen