Unaumia tena sana tu,ila ndo hivyo inabaki kuwa moyoni mwako tu kwani we si ulishindwa kumwahi mapema so unakuwa huna jinsi,zaidi ya kukaza moyo na kujipa matumaini kuwa wan day utampata mwingine na sio kuanza kumfanyia vsa jamaa aliyekuwahi,mwanaume wa aina hiyo anakuwa amekosa kabisa haiba ya kiume.