iyo ni kweli, now nikifall in love huwanajiandaa kuumizwa maana kuumizwa imekuwa sehemu ya mapenzi hasa kwetu waafrikaPole mkuu, ila maisha lazima yaendelee na utakuja kupenda na kuumia tena, ndio dunia mkuu,
mapenzi yalikuwepo kabla ya ugunduzi wa pesa. ivyo pesa ni pesa, na mapenzi ni mapenzi.Mapenzi ni pesa. Mengine ni ngonjera zisizokuwa na maana.
mmh! we differ in perceptionYou are weak, love haijawai kuwa weak
mapenzi yalikuwepo kabla ya ugunduzi wa pesa. ivyo pesa ni pesa, na mapenzi ni mapenzi.
Mwaka ndo kwanza mchanga, napenda tuanze vizuri ili tuumalize vizuri. kuwa makini sana kabla hujaamua kuanza au kuingia kwenye mapenzi. mapenzi yanaumiza, yanauma, yanaliza na yanaua. kimsingi mi nshaumia sana kwenye mapenzi! ivyo nawashauri ndugu zangu wote tuwe makini. "love is weakness, be strong when you want to start".