Love is weakness, be strong if you want to start

Love is weakness, be strong if you want to start

Dunia

Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
96
Reaction score
19
Mwaka ndo kwanza Mchanga, napenda tuanze vizuri ili tuumalize vizuri. kuwa makini sana kabla hujaamua kuanza au kuingia kwenye Mapenzi.

Mapenzi yanaumiza, yanauma, yanaliza na yanaua. Kimsingi mimi nishaumia sana kwenye Mapenzi! hivyo nawashauri Ndugu zangu wote tuwe makini.

"Love is weakness, be strong when you want to start".
 
Mapenzi ni pesa. Mengine ni ngonjera zisizokuwa na maana.
 
Pole mkuu, ila maisha lazima yaendelee na utakuja kupenda na kuumia tena, ndio dunia mkuu,
 
Pole mkuu, ila maisha lazima yaendelee na utakuja kupenda na kuumia tena, ndio dunia mkuu,
iyo ni kweli, now nikifall in love huwanajiandaa kuumizwa maana kuumizwa imekuwa sehemu ya mapenzi hasa kwetu waafrika
 
mapenzi yalikuwepo kabla ya ugunduzi wa pesa. ivyo pesa ni pesa, na mapenzi ni mapenzi.

Evolution imetokea.Mapenzi yamekuwa ni pesa. Ukiamini vingine uko naive au in denial.
 
Me nikajua "strong people love,weak people hate"
 
Aiseee mapenzi yataniuma na kuniliza lakini kujiua hapana kwa kweli na Mwenyezi Mungu niepushie kwa hilo
 
Mwaka ndo kwanza mchanga, napenda tuanze vizuri ili tuumalize vizuri. kuwa makini sana kabla hujaamua kuanza au kuingia kwenye mapenzi. mapenzi yanaumiza, yanauma, yanaliza na yanaua. kimsingi mi nshaumia sana kwenye mapenzi! ivyo nawashauri ndugu zangu wote tuwe makini. "love is weakness, be strong when you want to start".

I agree dear . Thanks
 
love is addiction....kama ulipenda utapenda tena

ila tu usiwe kingnganizi sio lazima mwanamke alie karibu yako awe mpenzi wako by doing that utaumia
 
yote maisha kupenda siachi ng'o... hata uwe jasiri nakuapia utalia tu kama sio kwa sauti hata moyoni utalia tu.. nasema na utalia tu!!
 
Back
Top Bottom