Ndivyo ilivyo siku zote, kupenda sio kazi, kazi ipo kuendeleza upendo udumu kwa yule umpendaye, kabla ya kupenda ni bora kutathimini gharama zote zisizo epukika katika kupenda/mapenzi, wengi wetu tunashindwa kuzikabili, cha muhimu ni kujipanga kabla ya kupenda...!
Hakunaga free love...
Mimi bwana kinachonicost huwaga ni kiingilio tu baada ya hapo kama alinogewa atanitafuta at her own expenses. Maisha magumu bwana asikuambie mtu. Watu mjini wanajiliwaza kwa kuongea viingereza tu laikini zaidi ya hapo hamna kitu.
Ndivyo ilivyo siku zote, kupenda sio kazi, kazi ipo kuendeleza upendo udumu kwa yule umpendaye, kabla ya kupenda ni bora kutathimini gharama zote zisizo epukika katika kupenda/mapenzi, wengi wetu tunashindwa kuzikabili, cha muhimu ni kujipanga kabla ya kupenda...!
Kaka Boss shikamoo
unamanisha ukipata unachokitaka, ni kwisha habari..!
You better say"pussy can be free but love always costly"Ndivyo ilivyo siku zote, kupenda sio kazi, kazi ipo kuendeleza upendo udumu kwa yule umpendaye, kabla ya kupenda ni bora kutathimini gharama zote zisizo epukika katika kupenda/mapenzi, wengi wetu tunashindwa kuzikabili, cha muhimu ni kujipanga kabla ya kupenda...!