Love is a Beautiful Thing!

Love is a Beautiful Thing!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
LOVE IS A BEAUTIFUL THING WADOGO ZANGU

HASA UKIPATA ANAEKUPENDA, UKAJA UKAMPENDA, MKAELEWANA!

LOVE IS A BEAUTIFUL THING - I CAN TESTIFY ON THAT!

VIJANA MSIOGOPE LOVE - HAIUMIZI KAMA WANAVYOSEMA!

KAMA UKIMTANGULIZA MUNGU MBELE KWENYE PENZI LENU SIKU ZOTE

NI HAYO TU KWA LEO!

 
Yap is sometimes yaani mpaka unamlilia mungu huyu mbona kachelewa kuja ,Sasa changamoto huwa
1.Pesa isipungue
2.Uliomnyanganya awe muelewa
3.Muachane na ya nyuma
4.Management ya marafiki,ndugu na jamaa
5.Cheating
 
Yap is sometimes yaani mpaka unamlilia mungu huyu mbona kachelewa kuja ,Sasa changamoto huwa
1.Pesa isipungue
2.Uliomnyanganya awe muelewa
3.Muachane na ya nyuma
4.Management ya marafiki,ndugu na jamaa
5.Cheating


hii yote umeandika hapa inaitwa MARRIAGE, YOU HAVE TO WORK ON IT, BY THE TIME UNAMALIZA KUIFANYIA KAZI WOTE MMESHAKUWA WAZEE
 
Dunia inabadilika sana. Hayo mandala tu nimeshangaa anayaonesha hovyo kapisa
nani huyo anaonyesha ndala boss?
tuko hapa kudiscuss Upendo wa Kweli - LOVE is a beautiful thing , ndala zatoka wap tenaa? au umechanganya habari
 
Mapenzi yanarun dunia,mapenzi kizungumkuti nayempenda na kumjali hanipendi,anayenipenda simpendi.
Ikitokea hali kama hii wanawake ni kuanza kumpenda yule akupendae tu hapo utaona dunia yote yako.
NDOROBOEEE
Sasa best mbona inbox umekimbia au nilishajibu ombi lako?
 
Back
Top Bottom