donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
[emoji23][emoji23] sio vizuri mkuu[emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Kama..[emoji1787]
Mapenzi Ni upofu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh!! [emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
kuna watu wanafaidi si mchezo!!
Hahaha, kipendacho roho [emoji2][emoji2][emoji2]Japo hilo bonge nalo linaonekana ni toto pia akoridingi to macho yangu jamani. [emoji41]
Kabisa Mkuu. Siku zote hula nyama mbichi.😅Hahaha, kipendacho roho [emoji2][emoji2][emoji2]
'Opareta' akiwa na Mtambo wake[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila uchawi upo aisee [emoji848][emoji848]
Hahaha'Opareta' akiwa na Mtambo wake[emoji41]
Sikupingi mkuuNi kweli ila inategemeana