kukukishingo
Senior Member
- Mar 25, 2023
- 109
- 146
Mwaka jana mwezi wa nne nilipata kamchongo fulani ivi sehemu, katika utafutaji kama tujuavyo mambo ni nyingi kwaio fursa ilitokea lazma uchangamkie, nikawa mbali na watu wangu wa muhimu kwa kipindi kirefu akiwepo shemeji yenu.
Nikiwa huko mbali moyo sukuma damu si mengine bhana, nikamuonaga mkaka so handsome, Kuna wakaka halafu Kuna wakaka wazuri then wasafi mashaalah.
Tukazoeana na kuahidiana kupeana mambo baada ya kua kila mtu kavutiwa na mwenzie, usiniulize kwanini nilikua tayari kumcheat jamaa, yule kaka mzuri bhana nikasema to hell mazee tunaishi mara moja acha niuze mechi.
Basi bhana, tukapeana location kipindi nakaribia kukamilisha majukumu yangu huko nilipokua, siku ya tukio ikafika bhana, kaka mzuri akanifata site tukaenda mahala husika, nilipata all the treatment a lady was supposed to get, ukafika mda wa kugusanisha vikojoleo daahhh, kaka mzuri hajui ata romance jamani, kaka mzuri alivamia tunda kama anataka kupigana akapiga tako tatu akavaa nguo ananiambia tuondoke niko na haraka.
Nilitamani kulia na kucheka at the same time, wadada wazuri ulishawahi kupitia haya...?