Mara nyingine matatizo yanayo hitaji ushauri hapa yanaweza
pata majibu toka kwa wana saikolojia.
Haya sasa,mmefuatwa saivi,acheni ubahili,Chris Mauki ana wakaribisha.
wanasaikolojia wapo Tanzania? mbona hawaendi shauri watu huko Mtwara wakaushe,,na wawafanyie counselling huko enh? kuna baadhi ya vitu hutokeaga Tanzania tu....sa si popote pale duinani..ova..Mara nyingine matatizo yanayo hitaji ushauri hapa yanaweza
pata majibu toka kwa wana saikolojia.
Haya sasa,mmefuatwa saivi,acheni ubahili,Chris Mauki ana wakaribisha.
wanasaikolojia wapo Tanzania? mbona hawaendi shauri watu huko Mtwara wakaushe,,na wawafanyie counselling huko enh? kuna baadhi ya vitu hutokeaga Tanzania tu....sa si popote pale duinani..ova..
Huyu nae Kwanzia azinduliwe na kina Dina kwenye kitchen party Gala imekua tabu mujini. Kwaiyo asie kua nacho ndo saikologia ya mapenzi imepita kushito sio?!