am have been more than silence because of being bussy. Nawasalimu wote. Leo naandika yaliyonikuta mwenyewe kwa kifupi sana na kwa umakini mkubwa bila kuvuka privacy ya mpenzi wangu.
Ni safari ndio ilinikutanisha na mrembo mithiri ya malaika, kwa siku chache tu nikiwa nae akawa rafiki angu.
Niliondoka na baada ya miaka kadhaa ya urafiki hatimaye tukaanzisha uhusiano na wote tulikuwa crazy over each other.
Kwa tahadhari mpenzi wangu alinieleza matatizo makubwa yanamsumbua kiafya only because nishakuwa wake na ilikuwa ni tahadhari kwangu kuwa i had to handle her with care na hakuwa tayari tukwaruzane hata siku moja.
Siri haidumu, marafiki wakajua, haikuwa tatizo, siri haidumu kaka akajua, mpenzi wangu akanitoa wasiwasi,
mpenzi akasafiri bila kuniaga japo alinitaarifu atasafiri lakini ikawa ghafla na sikujua, nikaendelea kupiga na kutext bila mafanikio, mpaka nilipopata txt ya kaka yake nimuache mdogo wake. Na akaniambia kasafiri.
Aliporudi mpenzi wangu aliniuliza kilichotokea nikaeleza a-z, akaniambia anateseka sana kwa sababu ya jambo lile mana limefikia pabaya