Mmhh jaman mimi nimeumia kama najua tatizo lilikuwa nin vile daaaa na ninavyopenda story duu by the way poleni sana bt namuonea huruma sana huyo dada japokuwa sijajua anasumbuliwa na nin endelea kumfariji
Wanaowakataza watoto wao kutokuendelea na mahusiano waliyo nayo, wanawatengenezea mazingira ya kutumiwa na kuachwa.
Mapenzi yanaumiza na yanatesa ngumu kuelewa kama haujapitia,haya mambo ya wazaz kuingilia uhusiano yalinifanya kumpoteza mtu ambae nlimpenda kupita maelezo,miaka kibao imepita lakn sijaona km ule msemo wa time heals..ukifanya yake...lakn km kuna upendo wa kweli kati yenu mtatafuta njia ya kuwasiliana na kuwa pamoja...poleee
= sentence
wewe ni mzoefu hapa, afu waandika kimafumbofumbo! Hujaeleweka,,
unalia, unahuzuni, unashauri, unajuta, unasuggest??
Huelewek.
I love the way you love her...pole lakini.
..kwani na wewe ni shombe? (nawapendaje) au economical status ya *mpenzi wa siri* haisomeki? Au hajaenda vidato? ...manake wazazi nao..mmh!!
great appriciation, Loving her was my heartly decision of true love in whatever difficulties and disapointment, she gifted me her love and all my galadness lie on her. THE LOVE WHICH IS DENIED AND ESCALATED TO SUFFERING TO MY VERY LOVELY GIRL WHO MEANS MORE THAN ANYTHING TO ME AND MY LIFE AS SHE IS A REASON TODAY AM ALIVE. no way i can pay to her than loving her at any situation she is.
mazee unapenda,komaa nae bwn .,si unajua hara angelo aligomewa kumdate Yna,tamthilia sijui ulikuwaga unafatilia..
Nimependa uandishi wako
Pole sana ndo changamoto
Endelea kuonyesha upendo kwake