I have been more than silence because of being bussy. ILA LEO PAMOJA NA KUKOSA MUDA NIMEJITAHIDI KUANDIKA ILI NITOE RAI KWA WENGI WANAOKWAMISHA MAHUSIANO NA KUWAKWAZA WALIOPENDANA.
Nawasalimu wote.
LEO NAANDIKA YALIYONIKUTA MWENYEWE KWA KIFUPI SANA NA KWA UMAKINI MKUBWA BILA KUVUKA PRIVACY YA MPENZI WANGU.
Ni safari ndio ilinikutanisha na mrembo mithiri ya malaika, kwa siku chache tu nikiwa nae akawa rafiki angu.
Niliondoka na baada ya miaka kadhaa ya urafiki hatimaye tukaanzisha uhusiano na wote tulikuwa crazy over each other.
Kwa tahadhari mpenzi wangu alinieleza matatizo makubwa yanamsumbua kiafya only because nishakuwa wake na ilikuwa ni tahadhari kwangu kuwa i had to handle her with care na hakuwa tayari tukwaruzane hata siku moja.
Siri haidumu, marafiki wakajua, haikuwa tatizo, siri haidumu kaka akajua, mpenzi wangu akanitoa wasiwasi,
mpenzi akasafiri bila kuniaga japo alinitaarifu atasafiri lakini ikawa ghafla na sikujua, nikaendelea kupiga na kutext bila mafanikio, mpaka nilipopata txt ya kaka yake nimuache mdogo wake. Na akaniambia kasafiri.
Aliporudi mpenzi wangu aliniuliza kilichotokea nikaeleza A-Z, akaniambia anateseka sana kwa sababu ya jambo lile mana limefikia pabaya.
Niliumia sana, kabla hatujamaliza mazungumzo akawa hapatikani tena,
kesho yake nikapata onyo tena toka kwa kaka yake kuwa nimuache mdogo wake vinginevyo mpenzi wangu atakabiliwa na wakati mgumu zaidi.
Nilitafakari ndani ya milliseconds kutokana na hali yake na yanayotokea nikamua niwe mpole niepushe mengi kwake.
LAKINI NIKASEMA HALIKUWA KOSA LANGU WALA LA MPENZI WANGU MAANA BINADAMU KAMA ANA MOYO LAZIMA APENDE UNLESS WAMUONDOLEE MOYO.
Ni wazi kuwa hata asiponipenda mimi atampenda mwingine vinginevyo wamuondolee moyo na si kumkataza asiwe na uhusiano pamoja na ukweli kwamba anahitaji umakini mkubwa kuwa nae na ukweli mwingine ni kwamba yeye pia anahitaji upendo zaidi ya ule wa baba,mama ,kaka ama dada.
RAI YANGU KWA WOTE.
Usimkataze mtoto wako ama ndugu yako kupenda ila mshauri apate mtu sahihi kwa hali yake.
SUGAR I WILL ALWAYS LOVE YOU,I MISS YOU SO MUCH,CALM DOWN. nisingependa nihisi nimebaguliwa ama umebaguliwa kwa jinsi nilivyo na tofauti zetu kubwa.