love connect

Joined
Jun 29, 2015
Posts
15
Reaction score
9
Habari wanajamvi,

Natarajia kuamia Mtwara mjini kikazi ningependa kupata msichana/mdada anaeishi mMwara awe rafiki just a company ikibidi tuwe wachumba vigezo umri miaka 26-30 elimu yoyote awe mfanyakazi wa taasisi yoyote ya serikali, kabila lolote awe mkristo urefu saizi ya kati.

Kama upo tayari ni PM
 
Unataka just a company au mchumba? Kila la kheri though
 
......kama nilivyosema mwanzo rafiki then mambo mengine yatafuata ila c ya ulazima
 
Kwa hiyo kila utakapohamia kikaz utataka rafiki,be care mtwara wamejaa wa utumishi ni wewe tu lakn...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…