Love comes down

Kwa nini mkuu? Ni maamuzi tu kiongozi.

Haya mambo ya kupenda ukiyaendekeza yanaweza kuharibu mstakabali wako. Ni kujitenga nayo kabisa.
hah ah!! yani sio upendi tu, haunashida hata ya kupendwa... duuh we kiboko
 

Usiusemee moyo. Mapenzi ni kama ajali,huibuka popote na wakati wowote....
 
Nimeamua tu mkuu, haya mambo ya kupenda na kupendana ukiyapa uzito yanaweza kuvuruga mustakabali wako wa maisha.
Yaani mimi kwa jinsi ninavopenda kupendwaaa uwiii hadi nakushanga, haya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…