Love comes down

sio huzuni,ni mahuzuni..yani masnura kila kukicha..binafsi nimeshindwa ndo mana nahitaji msaada kutoka nje
Teh haya ngoja nikae vizuri nione if I can be of any help, usije ukaanza kuzimia tena manake Hukawii na wewe
 
Aiseeee hongera jambo jema hilo mkuu,na la kumshukuru mungu
 
Teh haya ngoja nikae vizuri nione if I can be of any help, usije ukaanza kuzimia tena manake Hukawii na wewe
teh teh..siku si chache naweza kuzimia..wifi yako ana mimba..japo safari hii hesabu zinakubali lakini bado sina uhakika kama ni yangu..tushafanya paternity test now tunasubiri majibu..yani hapa naomba tu majibu yaonyeshe ushirikiano..vinginevyo naweza kuzimia
 
Hahahhaah yani wewe na gahawa zako, sijui una undugu na shigongo siku hizi teh?
 
kumbe na wewe ndo wale wale..kila ninayemueleza matatizo yangu anaishia kunicheka tu..nilijua utanifariji ati
Hahaha hahhaa Tunakucheka coz tunajua sio matatizo yako kweli. Hizo story na wewe haziendani ujue, labda zingekuwa story za ukorofi wako[emoji18] [emoji18] [emoji18]
 
Jamani kupendwa ukapenda ni raha isokifani, daaaah yaani acha tu. I can emagine the happiness you feel now, gudluck.
 
mkuu umenikosha ila ujajua tu nakupa mwezi mmoja uje tena humu utuambie i guess huyo soulmate atakuwa siyo soulmate tena

Usiwe tooo negative mkuu, unapokea unachotoa, na ukimuweka Mungu mbele, mbona mapenzi ya kweli yapo!
 
Hahaha hahhaa Tunakucheka coz tunajua sio matatizo yako kweli. Hizo story na wewe haziendani ujue, labda zingekuwa story za ukorofi wako[emoji18] [emoji18] [emoji18]
ukorofi na mimi wapi na wapi??...we naona unanizodoa tu..hauna msaada
 
Jamani kupendwa ukapenda ni raha isokifani, daaaah yaani acha tu. I can emagine the happiness you feel now, gudluck.

Kutwa nzima unashinda huku MMU,kuna cheo unatafuta huku????
 

Mtu kama huyo uwe nae safar ndefu,utataman msifike
 
Usiwe tooo negative mkuu, unapokea unachotoa, na ukimuweka Mungu mbele, mbona mapenzi ya kweli yapo!

mapenzi ya kweli yapo mbinguni hapa kuna makubaliano tu au wewe hayo mapenzi ya kweli unayo?
 
Kutwa nzima unashinda huku MMU,kuna cheo unatafuta huku????

We unayeshinda kunifuata fuata km nzi na kinyesi unatafuta cheo gani? Yaani kila nilipo nawe upo!! Niache nipumue basi.
 
mapenzi ya kweli yapo mbinguni hapa kuna makubaliano tu au wewe hayo mapenzi ya kweli unayo?

Unapokea unachotoa, na ukiamini yapo mbinguni tu basi tegemea kuyapata huko(kama utafika) na duniani tegemea mateso tu, mdomo huumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…