i'll never ask u again why u r always so happy...now i know the reason..teh teh"To love and to be loved is the greatest happiness of existence". Kila la kheri kwenu
whether single or dating ... i'm always happy coz I have too many things to be grateful for. So huwa najitahidi kutokuruhusu kitu chochote kibaya kiharibu furaha yangu. I have always been a happy person[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]i'll never ask u again why u r always so happy...now i know the reason..teh teh
Kwa kweli sinna mpango wa kupenda na sitaki mtu anipende, anipende kwa hasara yake mwenyewe.
Nishapenda sana lakinibkwa sasa sina mpango wa kupenda, na sitaki mtu anipende ila akinipenda haina shida anipende kwa hasara yake mwenyewe.Mh. Hujampata tu. Huoni mleta mada alikuwa anajiuliza aliletwa duniani kwa nini na ndio kapata majibu baada ya kupendwa.
daah...hongera yako..nipunguziapo basi kidogo furaha..mana mi huzuni kila mara yaniwhether single or dating ... i'm always happy coz I have too many things to be grateful for. So huwa najitahidi kutokuruhusu kitu chochote kibaya kiharibu furaha yangu. I have always been a happy person[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
Una huzuni ya nini tena jamani? Afu furaha nzuri ni ile inayotoka within you. Usimtegemee sana mtu mwingine ndo awe source ya furaha yako, binadamu hatutabirikidaah...hongera yako..nipunguziapo basi kidogo furaha..mana mi huzuni kila mara yani
sio huzuni,ni mahuzuni..yani masnura kila kukicha..binafsi nimeshindwa ndo mana nahitaji msaada kutoka njeUna huzuni ya nini tena jamani? Afu furaha nzuri ni ile inayotoka within you. Usimtegemee sana mtu mwingine ndo awe source ya furaha yako, binadamu hatutabiriki