Love bite - black chocolate

Love Bite and the Like ni ya Vijana wala Chips..... Sisi Wazee tunajua love Bite ni kupiga mashine hadi bidada akicheua zinatoka Sh@h@w@....


Poleni Sana Kinadada wa Digitali
 
nasikia wengi wanaziweka ili akuvurugie na mchepuuko wako,au mchepuko unakuweka love bite ili uvurugane na mke/mume wako au mpenzi,so zishavunja mahusiano kibao hzo love bite.

Aiseee kumbe ni weka mbali na watoto.....hatariii
 
Love Bite and the Like ni ya Vijana wala Chips..... Sisi Wazee tunajua love Bite ni kupiga mashine hadi bidada akicheua zinatoka Sh@h@w@....


Poleni Sana Kinadada wa Digitali

Hivyoooo eeehhh kweli tembea uone.... ishi miaka mingi ujuvike
 
hahahahahaaaa umevunja mbavu zangu😛
 
Nadhani atakapoamua kurudi basi abebe na kopo la rangi nyekundu kabisa maana kwa kumnyonya mwenzake kiasi akaelekea kupoteza fahamu kwa dakika hizo ni zaidi ya hatari haswaaa

Hahahaha huyo mtu ni hatari,unamtiaje mwenzio meno jamani
,ningekua mie ningempakia nnya ya kuku aliponing'ata aoze meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…