Love be like

Me ndio maana niko busy kumpenda Mungu wa mbingun tu[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]harusi ni moja tu ya mwana kondoo
Yesu wa nazareth?[emoji1756]
 
Me ndio maana niko busy kumpenda Mungu wa mbingun tu[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]harusi ni moja tu ya mwana kondoo
Unatafuta Ugomvi na Ndugai, Yesu anafamilia yake na ameshaoa Ndugai ndio mshenga[emoji3]
 
Me ndio maana niko busy kumpenda Mungu wa mbingun tu[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]harusi ni moja tu ya mwana kondoo
Huwezi mpenda Mungu kama hupendi binadamu wenzio unao pigana nao vikumbo hapa duniani, labda unampenda mzungu wa mbuguni.
 
Mzee umepigwa tukio nini

Mapenzi yanatesa mno kudadeki
Kuna mjinga nilimpenda akaniwasha tukio maridadi sana[emoji16]

Mapenzi yakikuda mno

Hahhaaaa siku hizi sijui napendaje yaani mtu akiwa close na mimi nampenda hatari akitoka tu nawaza hela
Yaani hata akisema it’s over najibu tu ok [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahhaaaa siku hizi sijui napendaje yaani mtu akiwa close na mimi nampenda hatari akitoka tu nawaza hela
Yaani hata akisema it’s over najibu tu ok [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja huyo katika harakati za kuto kunielewa akaniambia usinitafute tena😁😁nikamwambia twende tukapige beer tufurahie kibuti.

Huwa napendaga kindezi wakati mwingine
 
Unakosea kusema mapenzi yanauma sababu mapenzi sio physical pain kama kidonda..
Ni emotional pain kitu ambacho unaaweza kukaza na kukipotezea.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…