kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
Kwa upande wangu huwa nakutamani nikikuona
Kwa upande wangu huwa nakutamani nikikuona
Ama waleta U-Obama hapa......
Namaanisha kwa wanawake yaani nikikutana na wewe mara ya kwanza nikakuambia nakupenda hapo nimekudanganyadoh!?! nimesoma vbaya ama nimeelewa vbaya....... wantamani kwani wanijua??
Usipanic hapo sijakutaja wewe
Namaanisha kwa wanawake yaani nikikutana na wewe mara ya kwanza nikakuambia nakupenda hapo nimekudanganya
Hivi bandugu hii kitu inaexist kweli ama mimi nmejichanganya tu umpweke unanpeleka puta??!!
Maana kama sielewi hivi........
Basi kwa yule mwenye eksipiriensi anijuze mimi hapa kama ni kweli inawezekana ukamuona mutu siku ya kwanza na siku hiyo hiyo ukafolu in lavu.......?!!
kama unahamu ya kunshushua ama kunijoboa kaa mbali na post yangu soma tu afu teleza kimya kimya........
Mkuu edit. Ni Love at first sight

Hiyo ipo sana tu ila kujua kama umefall kikweli kweli ni mpaka utakapokuwa umemjua vizuri tabia zake
So subira muhimu sana............ sio eeehhh maana kwanza najishtukia kiana siku moja tu mtu uanze kuchombezaa??!!
we chombeza tu manake waweza subiri alafu mwisho wa siku mwana akawa si wako, mengine yatajulikanaga huko mbeleni
Asante mkubwa it was a typo..... Si unajua speed na pia lugha si yetu hii.
Thankyu en weiz.
we chombeza tu manake waweza subiri alafu mwisho wa siku mwana akawa si wako, mengine yatajulikanaga huko mbeleni
It happens, dah umenikumbusha nlivofall kwa nanii nilivomuona siku ya kwanza tu kumuona
moyo ulienda mbio, kijasho kinanitoka, natetemeka kama ninepigwa shoti, yani nililegea kila kiungo
aseee love is something vere byutiful....
Siku hizi wanasema "funguka" ukae nalo likikufia?
Angenitongoza ndo angeharibu kila kitu make sipendi kutongozwa....Evelyne malizia basiii nini kikatokea ulifunguka on the spot ama ilikua bahati akakuwahi......hihihi
Hivi bandugu hii kitu inaexist kweli ama mimi nmejichanganya tu umpweke unanpeleka puta??!!
Maana kama sielewi hivi........
Basi kwa yule mwenye eksipiriensi anijuze mimi hapa kama ni kweli inawezekana ukamuona mutu siku ya kwanza na siku hiyo hiyo ukafolu in lavu .......?!!
kama unahamu ya kunshushua ama kunijoboa kaa mbali na post yangu soma tu afu teleza kimya kimya........