watalamu wa mambo ya mahusiano, wanaamini Love at first sight hainaga cha kuangalia umbile au physical appearance, hainaga cha kuangalia pesa au kipato. Hainaga cha kuangalia tabia.
Love at first sight inaangalia njisi upendo unavyoweza kupenyeza kupitia macho yenu. Kwa lugha ya wenzetu Love at first sight is REAL:
Gazing into a person's eyes instead of looking at other body parts hints that you're falling for them.
Hivi Love at first sight bado ina exists????
Mapenzi ya kweli yalipungua kama sio kufa tangu pale watu walipoanza kutumia viungo vyao vya uzazi kama kama vitega uchumi...
Tatizo donyoa donyoa wengi siku hizi wanaokula wakamaliza wachache, ndio mana mtu anaamua ajichumie na yeye iwe ngoma droo.
Kwa hiyo mechi nyingi zisizo na ubingwa zinawajengea watu uzoefu na hatimaye kujikuta wameangukia kwenye ujasiriamali usiokuwa rasmi...
Haswaaaaaaa
Ujasirimali kwa sababu hiyo, binafsi nasema no. Tatizo mahusiano yanavunjika leo. Kesho mdada na mkaka anapata mwingine. Hii ni nn??
Ndomana ukaambiwa Kama kiti cha daladala ukishuka wanakaa wengine, una uninstall huyu ana download, cha muhimu ukishikwa shikamana.
Ohh daladala?? Utasema panda mti kata mti. Sasa kwa styles hizi utapanda mti kwenye udongo usio na rutuba na kwenye mfinyazi. Muhimu kundaa na kusubiri angelita
Deal ukiona hailipi unaachana nayo unatafuta inayolipa bhana, kwann ufanye kitu kisicho na manufaa upate hasara.
Tutaendelea kuwasababishia wenye tabia njema, wawe vipofu. Muhimu kuruhusu upendo kuingia na kuruhusu chuki kupona. Hii inahitaji healthy healing.
Khaaa unaamini kwenye falsafa hiyo??