Mapindizi chanya
Member
- Jan 21, 2018
- 35
- 33
***xex ni muingiliano wa kihisia, kiroho, mwili, jasho na damu. Haiishii kwenye kupeana raha mkakojozana!Kuna Energy inayotokea na kubadilishana wakati wa tendo.
Sio kila mtu utayemkaribisha kwenye maisha yako ana baraka na wewe. Kuna watu wana maagano/vifungo vyao, wapo watu wenye laana za mababu toka enzi na enzi, unashangaa mambo yako yanavurugika. Wapo wenye baraka pia na energy nzuri. Heshimu mwili, roho na hisia zako, si kila mtu unataka kuonjana nae utakuja ingia sehemu ujute na nafsi yako!!
#SISI NI TANZANIA MPYA