Lough out loud!!!!!

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
Kulikuwa na rais mmoja wa visiwa fulani ya Africa (jina kapuni) alikuwa anaenda kwenye mkutano kuhutubia wananchi kama kawaida aliandaliwa points za kuongea ila hakuwahi kuipitia hivyo hadi anaenda mkutanoni alikuwa hajaitia machoni hiyo karatasi yenye poit za atakachohutubia. Kabla hajaondoka kwenda kuhutubia wakamwambia tunakuwekea hii karatasi ndani ya kofia (kwani alikuwa amevaa kanzu na barakashia) baada ya kusalimia wananchi ufunue kofia na uanze kusoma poits na kuhutubia

jinsi ilivokuwa...,

baada ya kupanda jukwaani akakuta wamemuwekea maiki sita za kuongelea (zilikuwa za vyombo vya habari mbalimbali) akaanza kusalimia kwa kuongea kwenye kila maiki habari za mchana ndugu wananchi, habari za mchana ndugu wananchi, habari za mchana ndugu wananchi... ikabidi kabla hajaendelea waandaaji wakamwambia ukiongea mara moja tuu unasikika akaanza tena ha-ba-ri (kwa kuelekeza mdomo kwenye maiki ya kwanza hadi ya mwisho) za m-cha-na ndu-gu wa-na-nchi tena waandaaji wakamrekebisha na kumwambia soma tu hotuba yako kumbuka iko ndani ya barakashea uliyovaa usije kosea tena kama ulivokosea kwenye maiki

hali ikawa hivi......

akavua kofia na kuanza kusoma maandishi aliyoyaona kwenye karatasi ndani ya kofia akijua ndo hotuba
"made in china, machine washable, 60% cotton 40% polyster, warm water, no iron, wash colour separately,lol wananchi wakawa hawanambavu kwa kuvunjika mbavu, ikabidi waandaaji wapande tena jukwaani na kumwambia mkuu karatasi tuliyokuwekea umeiacha kichwani hiyo unayosoma ni lebo ya balakashia lol ikabidi mkutano uahirishwe.

kuwa rais si lelemama inabidi uwe kichwa hasa miye hapa nlipo cna mbavu kwa kucheka cjui nani aniazime zake hadi j3 nice wikend guys chill till monday
 
Back
Top Bottom