loud speaker not working kwa HTC sense

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Heshima mbele waungwana. simu ya HTC sense haitoi sauti ya ringtone wala loudspeaker. can someone do magic here?
 
Umehakikisha kwamba hujaondoa sauti kwenye kubonyeza button pembeni
 
Heshima mbele waungwana. simu ya HTC sense haitoi sauti ya ringtone wala loudspeaker. can someone do magic here?

Bila shaka Ringer imekufa, ni speaker inayotoa sauti kubwa...replace hiyo simu inarudi kama kawaida
nna uhakika hata music ukiplay haitoi sauti si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…