Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Sex kwa sana ndio dawa... mnatunza sana mabarungi..

Juice ya viazi ulaya ukichanganya na vinegar ya apple na baking powder kwa kuondosha madoa pia vipele au vichunusi msivipasue ili msipate makovu meusi ya kudumu muda mrefu. Unajipaka sehemu zilizo athirika tu usiku ukishaoga kabla ya kulala asubuhi oga zako vizuri usijipake mafuta . Make sure unapunguza vinywaji vitamu kama soda na juice zenye sukari. Uwe unakunywa maji kama lita tatu kwa siku na uwe unafanya mazoezi hadi jasho likutoke kiasi misosi ya ngano punguza kama huwa hufanyi sex kuna sabuni ya kuogea inaitwa jina kama testmone cover ya yellow maduka ya dawa ndio zinapatikana ni nzuri sana.
 
images
images
Ndo bei gani hzo
 
Mimi pia nilizipata mwaka huu toka mwezi wa kwanza, zilinikosesha amani kabisa nimebadili sana mafuta, rotion, sabuni lakini wapi.
Nikaamua kutumia limao na sabuni ya Asantee ya ukwaju. Nanawa USO Kwa sabuni hiyo kisha nachukua limao nakata vipande viwili naanza kusugua usoni, lilikuwa nafanya hivyo Mara mbili Kwa siku na chunusi zikakauka.
Sasa yamebaki mabaka lakini pia yanapungua. Siku hizi nasugua limao Mara moja hadi mbili Kwa wiki na USO upo soft.
Ila ninachangamoto ya mafuta gani nitumie nisipate chunusi sitaki lotion kwani asilimia kubwa ya lotion nikipaka usoni naumwa sana macho.
Asante
Tumia NIVEA Cream ipo poa sana utaipenda au tumia mafuta ya nazi safi weka drop 3 halafu paka usoni.
 
Tumia ingrams lotion mkuu utapata matokeo mazur tu.. Mm nmetumia na zimeisha zote au nenda duka la dawa za asil watakuwa na majibu juu ya tatizo lako
Samahani ndugu, hivi ingrams zpo za aina nyingi au ni moja tu??
 
Back
Top Bottom