Lost wallet..

Might be true, lakini si kwa vibaka wa Tanzania! Niliona tangazo la watafiti toka chuo kikuu fulani wakisema kuwa wamebaini kuwa kubandika picha za macho yanayoangalia eneo ambalo kuna vitu vimehifadhiwa kunawaisha vibaka na hivyo kupunguza tatizo la wizi mdogo mdogo (Source: BBC-Swahili). Kwa huku Tanzania, nafikiri hata hiyo picha yenyewe inaweza kuibiwa!
 

Tanzania hata kama wallet haina kitu inabebwa lol
 
hii ni kimbele zaidi ila ile mijangili ya pale sarenda ikirudisha wewe una mungu..
 
Picha anaenda kuiza kwenye Daladala au unakuta kaweka Gheto kwake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…