Lost pic, nabii Tito town kitambo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,394
Tito town kitambo,hapa akibadilishana mawazo na Kanumba
IMG_20200408_094226_595.JPG
 
Hata humu jamii forum hizi picha zimo, miaka hiyo watu walimpost sema hau-trend kama miaka hii ambayo kila mtu ana simu janja. Binafsi mimi nimeona picha za nabii tito mtandaoni kabla kanumba hajafa.
 
Huyu jamaa ni shidda aisee na najikuta tu nina mashaka na akili yake kama iko sawa.

Niliwahi kumuona maeneo ya Moroco anaelekea darajani kupanda mwendo kasi aisee aliniacha na mawazo sana ile siku mana dume yule anatembea kwa mikogo wanawake tukasome na hapo ana bible mkononi huku amevaa ile kama kanzu na rozari shingoni , masikioni ana hereni tena zimeshuka zinakaribia kufika shingoni. Lol.
 
Huyu jamaa ni shidda aisee!!

Niliwahi kumuona maeneo ya Moroco anaenda kupanda mwendo kasi aisee aliniacha na mawazo sana ile siku mana dume yule anatembea kwa mikogo wanawake tukasome na hapo ana bible mkononi huku amevaa ile kama kanzu na rozari shingoni , masikioni ana hereni tena imeshuka inakaribia kufika shingoni. Lol.
😂nimecheka sana, kwamba tito anakuzidi mwendo, ila alishasema kaanza kuliwa toka miaka hiyo ya 90 labda hata wakati huo wewe ulikua hujui hayo mambo
 
Huyu jamaa ni shidda aisee na najikuta tu nina mashaka na akili yake kama iko sawa.

Niliwahi kumuona maeneo ya Moroco anaelekea darajani kupanda mwendo kasi aisee aliniacha na mawazo sana ile siku mana dume yule anatembea kwa mikogo wanawake tukasome na hapo ana bible mkononi huku amevaa ile kama kanzu na rozari shingoni , masikioni ana hereni tena zimeshuka zinakaribia kufika shingoni. Lol.
Kitambo alikuwa kinyozi saloon moja kinondoni
Alikuwa anapiga vyuma alikuwa poa tu
Gafla Akaja kubadilika na kuwa na tabia za uchk
Inasemekana kna mtu alimtengeneza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom