President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,095
- 93,513
Kitabu kipo lakini hatujui namna ya kukitumia. Endelea kufuatilia utajua kitabu hiki kiko wapi na unakipataje.kimepoteaje au kimejipoteza chenyewe
View attachment 3042131
Barikiwa mkuuZa leo ndugu zangu wana JF:
Leo ninapenda niongelee kitu ambacho nimekuwa nakifuatilia kwa muda mrefu. Imenibidi nikusanye researches zangu zote niweze kuziweka hapa.
TAMADUNI ZA MTU MWEUSI
Nimefuatilia kwenye tamaduni mbalimbali za mtu mweusi nimekutana na ufanano wa mambo mengi sana. Moja ya ufanano wa mambo ni kuptia katika imani zao. Watu weusi walikuwa na imani zinazofanana hususani kuamini kuwa yupo mwenye nguvu zaidi ambaye hatumuoni.
Imani hiyo ilikuwa presented kwa kupitia vitu vinavyoonekana. Si kwamba watu weusi walikuwa wanaabudu miti, milima au jua bali walikuwa wanapitisha hisia zao za imani kupitia vitu vinavyoonekana.
Watu weusi wamekuwa wakitumia dawa za miti kwa miaka mingi sana. Imekuwa ikirithishwa kutoka kizazi hadi kizazi.
SAFARI YANGU YA KWENDA UGRIKI, ITALIA, IRAN NA UJERUMANI KUFANYA UTAFITI
Niliamua kufunga safari ya kiutafiti na kwenda kwenye nchi hizo tajwa. Hii ni kutokana na kwamba
1. Ugriki ndio nchi ilikuwa na watalamu na wameandika vitu vingi sana kuhusu dunia
2. Italia ilikuwa na utawala mkubwa sana hapa duniani na imeathili tamaduni nyingi kupitia Roman Empire.
3. Iran ni kutokana na kwamba waajemi wameongiliana sana na waafrika katika biashara mbalimbali
4. Ujerumani ni moja ya mataifa yaliyoshiriki katika kuligawa bara la africa
Periplus of the Erythraean Sea
Hiki kilikuwa kitu changu cha kwanza kufanyia utafiti. Periplus of the Erythraean Sea maana yake voyage of the Erythraean Sea. Erythraean sea ili husisha Red Sea, Arabian Sea, Persian Gulf, and Indian Ocean.
Ndani ya bahari hiyo kulikuwa na bandari kubwa kubwa msafiri wa kiindi hicho cha 1 CE alizitaja.
Moja ya bandari iliyotajwa katika kitabu hicho cha safari ya baharini ni Rhapta.
Lakini kuna bandali nyingine liyotajwa kwenye kitabu hicho iliyoitwa Muza na kwa sasa eneo hilo linaitwa Yemen.
Sasa nimekusanya taarifa nyingi ambazo zinaeleza kuwa Tanzania ambayo katika kitabu hizo ilijulikana kama Azania na mji wake Mkubwa kabisa kando kando ya bahari uliitwa Rhapta, kuonesha kitabu kilichopotea cha mtu mweusi.
Kitabu hicho kina mambo mengi nitayaeleza kituo kwa kituo.
Huu ulikuwa utangulizi uwe macho nitakavyoendelea kukielezea kitabu hicho na maeneo ya masalia yake yalipoweka na kufichwa.
Hawakufunuliwa upande huoKuna clip moja ya watu wa Asia sijui specifically ni nchi gani, ni shule walikua wanawafundisha wanafunzi somo la communication skills, na sub topic ni kuhusu jinsi upashwaji wa taarifa toka mtu na mtu unaweza kutofautiana mpaka mtu wa mwisho akapata taarifa isiyo sahihi kwa kutafsiriwa vibaya na watoa taarifa hapo katikati.
Kulikua na wanafunzi karibu 50, wote wametizama mbele. Yule wa mwanzo toka mwisho, alipewa taarifa ya signal na mwalimu wake kua sio muda mrefu atamumuua(ishara ya kuua kwa kukata shingo). Ile taarifa ilitakiwa ifike kwa mtu wa kwanza kule mbele kama ilivyo.
Ajabu ni kua kuanzia mtu wa 10 walianza kutoa signal tofauti kabisa, mpaka mtu wa 30, signal ikawa imebadilika toka kuua kwa kukata shingo mpaka alama ya dole gumba(kwamba huko nyuma mambo ni fresh)..
Mpaka yule mtu wa 1 anafikiwa signal aliyoipata hata yeye hakuielewa kabisa.
Mtu wa 50 na wa 1 wakakutanishwa yule wa 50 atoe ishara aliyopewa na mkufunzi na yule wa 1 toe ishara aliopewa na mtu wa 2.
Ilikua ni vituko, mtu wa 50 alicheka mpaka akakaa chini, kutoka ishara ya kuua mpaka ishara ya isiyoelewaka kabisa.
Na hivyo ndivyo wazee wetu walipokosea, unapotoa masilimulizi.. unayempa nae atampa atakaempa story tofauti na ile halisi.
Wenzetu walituzidi kwenye maandishi, sijui wavumbuzi halisi wa maandishi ila wazungu waliyatumia ipasavyo kujenga vizazi vijavyo.