Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,312 Reaction score 51,755 Oct 2, 2023 #1 Kuna mdau humu alipendekeza kuwepo ukurasa maaulumu kwaajili ya kutangaza vilivyopotea na kupatikana au kupotea jumla Nimeona hili tangazo huko huenda ukurasa huo ungekuwepo ungesaidia wengi hapa
Kuna mdau humu alipendekeza kuwepo ukurasa maaulumu kwaajili ya kutangaza vilivyopotea na kupatikana au kupotea jumla Nimeona hili tangazo huko huenda ukurasa huo ungekuwepo ungesaidia wengi hapa