Lori (semi trailer) linatafuta kazi

Lori (semi trailer) linatafuta kazi

truckdriver

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
562
Reaction score
266
Salaam,

Nina lori (semi-trailer) flatbed linaloweza kubeba mpaka tani 30-31, natafuta mtu/kampuni yeyote iliyotayari kushirikiana katika kusafirisha mizigo/containers kwenda sehemu mbalimbali katika nchi yetu.

Clearing Agents wenye mizigo tunaweza shirikiana pia.

Gari ipo Dar es Salaam.

Asanteni
 
nina jamaa zangu wanamagari mengi ya jinsi hiyo na wanasema kazi ni nyingi sana na huwa hawajitangazi kazi zipo za kumwaga nitafute nikuunganishe nao. 0657145555.
 
Back
Top Bottom