Lori lenye kontena limeanguka Ubungo mataa!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,690
2,000
Nimepita Ubungo mataa mida ya saa nne na nusu na kukuta lori lililobeba kontena la futi arobaini limeanguka baada ya kushindwa kukata kona na kuzidiwa na uzito upande mmoja.
Mwenye taarifa zaidi hasa kuhusu wahanga na majeruhi atufahamishe...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom