Lori la mercedes- Benz limebeba caterpilLar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,450
33,359
mercedes-benz-actros_100465520_l.jpg


a Mercedes-Benz Actros transporting a massive Caterpillar 797 MAAJABU KWELI
 
Mkuu kwa haya mambo sisi bado sana tena sana labda kwa longo longo lakini kwa kutenda ni sawa sawa na usiku wa kiizaa
 
...namtafakari magufuli hata sipati jibu aseee...!
 
acheni hizo bwana hilo lori lina tani ngapi na hilo catterpilar lina tani ngap?? Na hizo tairi zinaweza kuhimili huo mzigo kweli ????
Tafakari
 
Naona ni kama picha ya dukani!

Nakubaliana na wewe coz naona kama kulikua hamna sababu ya hilo caterpiller kubebwa kwasababu lina magurudumu ya kawaida, lingebebwa kama lingekuwa na matairi ya kifaru kwamba litaharibu hiyo barabara ya lami!
 
Hili linafaa katika ujenzi holela kuhamishia nyumba yako mahali pengine.
 
[Mbona hii ipo tuu ....Hata kwa binadamu ipo....(Lulu na mzee wa kitambi)
mercedes-benz-actros_100465520_l.jpg


a Mercedes-Benz Actros transporting a massive Caterpillar 797 MAAJABU KWELI[/QUOTE]
 
Kama tenda ya kubeba hilo dubwana inaweza kunipa pesa za kununu lori jipya sawa naweza kufanya kazi hiyo, kinyume na hapo acha wachukue wengine...
 
Hilo lori la migodini linafaa sana kwa wanaojifanya kuchomekea wenzao mijini.
Wale wazee wa kuomba lifti wakiomba mzee unasimamisha gari. Halafu unasikilizia jinsi wanavyohangaika kupanda...
 
Hapo Marcedes wamejipa promo ya kufa mtu.

Hivi huyo dereva humo ndani sijui ana hali gani?
 
Liliobebwa kwa upana ni three times upana wa lililobeba ukiangalia barabara zetu ni za two vehicles . katika hali ya kawaida hii load haiwezi pita barabara yoyote kwa hiyo huu ni uongo wa PHOTO SHOP
 
Back
Top Bottom