Lori la Magufuli limekwama, Tulisukume

Lori la Magufuli limekwama, Tulisukume

Namkubali sana sana JPM.
teh teh teh
Mzee wa hasara huyo. Nchi imemshinda, sass hivi sitashangaa kuchakachua katiba. Km ameweza kuchoma ofisi za watu, kula rambi rambi, kufuta ajira na kubomoa nyumba za watu. Hatashindwa kuchakachua katiba?
Sasa hivi inabid ajipange, akifanya ujinga km wa samaki, alipe kwa mshahara wake. Upuuzi wake amesababisha polisiccm kuwa Tawi dogo la TRACCM
 
Nyie endeleeni kuchoma MB zenu tu,nchi inasonga kama kawa.JF ina ulimwengu wake tofauti na uhalisia,ukiwa humu waweza dhani una wafuasi kibao,kumbe mtaani picha tofauti.Watu wanaendelea na maisha kama kawaida,hawana time.Raisi ni huyu huyu mpaka 2025, nyingine ni porojo tu.Jifunzeni kuendana na mazingira yaliyopo tu, vinginevyo hameni nchi kwa muda.
Eti wanaiga yaliyotokea Marekani wakati wa kampeni kwa kueneza fake news kwenye mitandao. Wakidhani mazingira ya Tanzania sawa na marekani. Hahahaha chadomo majanga. Kule Katavi Simiyu Songwe na Lindi Unadhani wanapoteza muda na pesa yao kununua MB za kujirusha JF subiri 2020 watashangaa watakavyopigwa mapema masaa sita baada ya kuanza kuhesabu kula Ngosha atakuwa a naelekea tume ya uchaguzi kukabidhiwa cheti cha ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatamani iwe hivyo..
Unaisoma namba hadi na uongo mwingi umekujaa. Subiri wenzako mshangiliane juu ya hili.
Ng'ombe hilo hapa!!,kwani wew no mkenya.Hivi kwann waccm wanajiona wao maisha ni mazuri,wakati sie baadhi ya wanacdm tuna maisha bora sana kuliko hao wanaccm wanaosubili kofia na y shirt za ccm kwa miaka mi5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu kuapishwa novemba 5 2015 suala la viwanda limekuwa ndoto za mchana. Kujifariji ikatangazwa kila vyerehani vinne ni kiwanda kidogo.

Suala la kuhamia Dodoma nalo ni kigugumizi kila kukicha.

Uwazi katika manunuzi pia ni kitendawili, wananunua ndege bila kutuambia bei yake kana kwamba ni misaada.

Uongozi bora na utawala wa sheria ni mbingu na ardhi. Wanaamru mpaka SHILAWADU waonyeshe video gani.

Upigaji wa rambirambi za Kagera na zile za Gambo.

Hayo ni machache, kwa kuwa mkulu alisema yeye ni dereva wa lori ni wazi kuwa amelipitisha njia yenye tope. Lori hili limekwama tumsaidie kulisukuma.

Huyu anahitaji msaada zaidi ya kusukuma peke yake. Alihitaji kusaidiwa kuendesha kabisaaaa....!
 
Lorry limeslip kwenye mchanga tyres zinazunguruka peke yake, dereva anatuambia lori linaenda, na baadhi ya abiria wamefumba macho huku wanashangiria wakisema lorry linaenda speed ya ajabu.
 
Mbona kwenye post yake huyo jamaa sijaona neno "rais" wewe umelitoa wapi? Nani kamzuia huyo unayemwita rais kufanya kazi? Una hakika watanzania wote wanamwelewa huyo rais wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo rais anajua kila kitu mpaka aachwe tu afanye kazi mwenyewe kama Mungu anayejua kila kitu?

Kama rais anatakiwa aachwe tu kwa nini kuna bunge, mahakama, vyama vya upinzani, vyombo vya habari?
 
Nyie endeleeni kuchoma MB zenu tu,nchi inasonga kama kawa.JF ina ulimwengu wake tofauti na uhalisia,ukiwa humu waweza dhani una wafuasi kibao,kumbe mtaani picha tofauti.Watu wanaendelea na maisha kama kawaida,hawana time.Raisi ni huyu huyu mpaka 2025, nyingine ni porojo tu.Jifunzeni kuendana na mazingira yaliyopo tu, vinginevyo hameni nchi kwa muda.
Nani kwa kwambia watu wakiwa kimya na wakiendelea na maisha yao,kuwa hawafikiri kuhusu ujinga wenu?
Mlitaka kwa kuwa maisha yana wapiga watembee barabarani wakipiga mayowe?
FUNGUA VIFUA VYAO UONE WANAYO FIKIRI KUHUSU MAGU WENU
 
Ujinga ni kuwa mlalamishi katika maisha na ulimwengu huu uliojaa fursa,haikusaidii zaidi ya kukupa stress.Fanya research kidogo, waulize watu kila uendako,watu wanasonga na maisha yao,waliozoea vya free ndo mmejaa humu JF na malalamishi kama chekechea wasio na wazazi.JPM ni huyu huyu mpaka 2025 nyingine ni porojo tu.Mnapoteza muda wenu.
 
Tangu kuapishwa novemba 5 2015 suala la viwanda limekuwa ndoto za mchana. Kujifariji ikatangazwa kila vyerehani vinne ni kiwanda kidogo.

Suala la kuhamia Dodoma nalo ni kigugumizi kila kukicha.

Uwazi katika manunuzi pia ni kitendawili, wananunua ndege bila kutuambia bei yake kana kwamba ni misaada.

Uongozi bora na utawala wa sheria ni mbingu na ardhi. Wanaamru mpaka SHILAWADU waonyeshe video gani.

Upigaji wa rambirambi za Kagera na zile za Gambo.

Hayo ni machache, kwa kuwa mkulu alisema yeye ni dereva wa lori ni wazi kuwa amelipitisha njia yenye tope. Lori hili limekwama tumsaidie kulisukuma.
witch hunting and castgating each other
 
Ujinga ni kuwa mlalamishi katika maisha na ulimwengu huu uliojaa fursa,haikusaidii zaidi ya kukupa stress.Fanya research kidogo, waulize watu kila uendako,watu wanasonga na maisha yao,waliozoea vya free ndo mmejaa humu JF na malalamishi kama chekechea wasio na wazazi.JPM ni huyu huyu mpaka 2025 nyingine ni porojo tu.Mnapoteza muda wenu.
Subirini 2020,labda mtumie ubabe wenu wa ma policcm
 
Tangu kuapishwa novemba 5 2015 suala la viwanda limekuwa ndoto za mchana. Kujifariji ikatangazwa kila vyerehani vinne ni kiwanda kidogo.

Suala la kuhamia Dodoma nalo ni kigugumizi kila kukicha.

Uwazi katika manunuzi pia ni kitendawili, wananunua ndege bila kutuambia bei yake kana kwamba ni misaada.

Uongozi bora na utawala wa sheria ni mbingu na ardhi. Wanaamru mpaka SHILAWADU waonyeshe video gani.

Upigaji wa rambirambi za Kagera na zile za Gambo.

Hayo ni machache, kwa kuwa mkulu alisema yeye ni dereva wa lori ni wazi kuwa amelipitisha njia yenye tope. Lori hili limekwama tumsaidie kulisukuma.
C wanajua kuongoza binadamu sawa na kuongoza mbuzi au kondoo kwamba wakienda tofauti unawachapa bakora, ngoja tuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom