Tangu kuapishwa novemba 5 2015 suala la viwanda limekuwa ndoto za mchana. Kujifariji ikatangazwa kila vyerehani vinne ni kiwanda kidogo.
Suala la kuhamia Dodoma nalo ni kigugumizi kila kukicha.
Uwazi katika manunuzi pia ni kitendawili, wananunua ndege bila kutuambia bei yake kana kwamba ni misaada.
Uongozi bora na utawala wa sheria ni mbingu na ardhi. Wanaamru mpaka SHILAWADU waonyeshe video gani.
Upigaji wa rambirambi za Kagera na zile za Gambo.
Hayo ni machache, kwa kuwa mkulu alisema yeye ni dereva wa lori ni wazi kuwa amelipitisha njia yenye tope. Lori hili limekwama tumsaidie kulisukuma.