Lori la kusambaza cocacola miaka ya 1909

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,730
Lori la kusambaza cocacola miaka ya 1909
15726807922145888.jpeg
 
Coca-Cola inatofautina kutokana na uchanganyaji,
America wanakunywa Coca-Cola tofaut na africa.
Inaaminika kuna watu wawil tu ndo wanafahamu uchanganyaji na formula sahihi y'a Coca-Cola.
Kwa wakemia wenzangu nahisi tupo pamoja kama ukiwa n'a formula unaweza tengeneza chochote kile. Kwa ratio yoyote ile.
So we drink fake Coca-Cola, ukitaka ku prove angalia Coca-Cola za hapa Dar na za kiwanda cha bonite moshi. Kuna tofaut mkubwa tu
 
Maji mjombaa, hata ukinywa Bia ya arusha tofauti sana na ya Dar hii inatokana na maji
 
Back
Top Bottom