timetoloveyourself
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 206
- 206
Ni mwanamke mwenye umri wa 30+,natafuta soul mate wa umri kuanzia km wangu, awe mtu anaejitambua na mwenye kiu ya kusonga mbele kiushauri na all positive aspects of life, awe tayari kunichukulia kwa changamoto km nitakavyokuwa kwake, kwasababu huwa naambiwa mimi ni mdada mkaka eti ni mtata ingawa ni mpole sana.
Karibuni, pm ruksa kwa mawasiliano ya simu.
Kweli mnakoma nyakati hizi ujana wenu mchezeee alafu eti unatafuta wa kushare naye uzeee! Unalo mtafute uliyekula naye ujana....!
Ndio maana hatutaacha kugombana kwani watoto umewaacha na nani, ukute unataka nikapike mie wewe uko bize unatafuta bwana mpya huku!Kwa nini usibadilike tu tuishi vzr!?:lol:Ni mwanamke mwenye umri wa 30+,natafuta soul mate wa umri kuanzia km wangu, awe mtu anaejitambua na mwenye kiu ya kusonga mbele kiushauri na all positive aspects of life, awe tayari kunichukulia kwa changamoto km nitakavyokuwa kwake, kwasababu huwa naambiwa mimi ni mdada mkaka eti ni mtata ingawa ni mpole sana.
Karibuni, pm ruksa kwa mawasiliano ya simu.
Wewe Ushazeeka Dada.Tulia Tu Ulee Wajukuu!
Ndio maana hatutaacha kugombana kwani watoto umewaacha na nani, ukute unataka nikapike mie wewe uko bize unatafuta bwana mpya huku!Kwa nini usibadilike tu tuishi vzr!?:lol:
Kweli mnakoma nyakati hizi ujana wenu mchezeee alafu eti unatafuta wa kushare naye uzeee! Unalo mtafute uliyekula naye ujana....!
hivi miaka 30 ni uzee mkuu au sijaelewa vizuri
Ana 30+ mwanamke healthly atakiwi kuzaa above 35 sasa km mini nataka watoto saba ataweza nizalia? Kwa tafsiri ya haraka 30 kwa mwanamke ni bibi huyo.