Dorcas umeona wapi mwanamme anapangiwa eti must be Christian!

Mwanamme kamili hapangiwi kuamini katika dini ndo maana makanisani wamejaa wanawake na watoto.

Tukiachana na makosa ya ki grammar, jifunze kwanza matumizi sahihi ya your then mengine ndo yafuate wewe si umesema ni educated bhana.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hajampangia mtu bali anataka aliye mkristi tayari.
Shekhe kaa pembeni akina Paulo wapambanie kombe
 
30 years
1. Tunamuomba ashushe vigezo, mwanaume mwenye miaka 35 hajaoa na yupo serious ni mcha Mungu ni Mkristo ambaye ameajiriwa na serikali,
Kwa haya masharti utakuwa msimbe very soon.
Pia kitu gani unaoffer?? Ukiachana na education yako , kutokuwa na mtoto na hyo miaka 30.
 
Miaka 30 hadi uzae mutoto wa kwanza afikishe miaka kumi utakuwa ushazeeka..hapana sikutaki kwa kweli, ulikuwa wapi wakati una miaka 20-30 usipate mume? Je wewe ni bikra?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom