LOOKING for reason to stop betting. here it is

LOOKING for reason to stop betting. here it is

Ukiwa na nidhamu betting ni rahisi sana. Chezo odds 2 weka 10k upate 10k ingine.
Ref mwindi yake 1 tu. Unamwinda 10 yeye anakuwinda moja.
Zile fixture ni ubabaishaji tu. Zako pale ni odds 2 tu.

Kazi njema.
Hakuna urahisi kwenye Betting, hata ukacheza Odds 1.20 unapigwa tu!
Hakuna options ambayo sijawhi kuicheza lakini upepo wa kisulisuli utakupitia tu! Nimecheza shots on target, thrown in, corner, no Red card, over o.5 goal, na options nyinginezo unazojijua au ulizoambiwa kuwa ni lower risks lakini nimeona Betting ni ngumu Sana. Hizo options zote nimecheza kwa kuchagua timu chache na odds zisizozidi 2+. Siku ukiweka Pesa kubwa Unapigwa. Sasa hivi nacheza kwa Kwa kujifurahisha tu.

Nilianza kuweka kiwango kikubwa baada ya kula Laki 5, nikajiona nimepata mtaji sasa nianze kucheza options zenye low risks na odds chache chini ya Odds 2. Baada ya wiki Pesa yote ilirudi Kwa Muhindi nikabakia patupu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240505-093301.png
    Screenshot_20240505-093301.png
    104.9 KB · Views: 30
  • Screenshot_20240505-093425.png
    Screenshot_20240505-093425.png
    150.8 KB · Views: 29
  • Screenshot_20240505-093812.png
    Screenshot_20240505-093812.png
    128.9 KB · Views: 28
  • Screenshot_20240505-093949.png
    Screenshot_20240505-093949.png
    113.5 KB · Views: 27
  • Screenshot_20240505-094524.png
    Screenshot_20240505-094524.png
    126.4 KB · Views: 32
  • Screenshot_20240505-094743.png
    Screenshot_20240505-094743.png
    130.9 KB · Views: 33
Hakuna urahisi kwenye Betting, hata ukacheza Odds 1.20 unapigwa tu!
Hakuna options ambayo sijawhi kuicheza lakini upepo wa kisulisuli utakupitia tu! Nimecheza shots on target, thrown in, corner, no Red card, over o.5 goal, na options nyinginezo unazojijua au ulizoambiwa kuwa ni lower risks lakini nimeona Betting ni ngumu Sana. Hizo options zote nimecheza kwa kuchagua timu chache na odds zisizozidi 2+. Siku ukiweka Pesa kubwa Unapigwa. Sasa hivi nacheza kwa Kwa kujifurahisha tu.

Nilianza kuweka kiwango kikubwa baada ya kula Laki 5, nikajiona nimepata mtaji sasa nianze kucheza options zenye low risks na odds chache chini ya Odds 2. Baada ya wiki Pesa yote ilirudi Kwa Muhindi nikabakia patupu.
Wewe umekurupuka hujataka kuipa heshima betting ukajifanya mjuaji Sasa hivi unalialia
 
I’ve been betting for over five years now and here’s what I’ve learned: starting out was tough without a clear plan. But, developing a solid betting strategy really changed things for me. It's not just about placing bets; it's about making smart, well-informed bets.

I focus a lot on disciplined bankroll management and specialize in areas where I can make the most informed decisions. For example, I bet on the Olympics games on Goldenbet because it allows me to utilize historical data and athlete performance insights, which significantly boosts my chances. This strategy has turned out quite profitable for me.
 
HAHAHAAAA MKUUU 500 UPATE MIL BOT SI INGEFUNGWA NYOTA BOSS WEKAHIO

LEEDS FT DRW
 
Waliobuni betting, walihakikisha wanaweka misingi ambayo itakufanya upoteze kikubwa kuliko na unachopata(hii ni kwa majority).

Then wakaweka misingi ambayo minority wataweza kubahatika faida.

Angalia odds zinavyowekwa, hata ukisema uweke hela kidogo kidogo kwenye odds tofauti, lazima utapata kidogo kuliko ma ulichoweka.

Kanji alituliza akili kwenye hii michezo
Betting nadhan ina mgao na hizi timu. Ndo utaskia Haaland hayupo form,man city anapigwa na westham
 
Betting nadhan ina mgao na hizi timu. Ndo utaskia Haaland hayupo form,man city anapigwa na westham
Hahahaaa.

Unaweza kuweka Milioni ili City ashinde(yaani kwa option ya WIN) na achukue EPL, ila ukashangaa akadroo na milioni inaenda
 
Matokeo ya jana ya Tanzania kuifunga Guinea away ni mwendelezo uleule wa kuifanya betting kuwa inconsistent.

Tanzania alikuwa na odds 5.4
Guinea kadondoka na mikeka yangu mitatu @ Tshs 30,000

Nilikuwa natafuta odd 3.5 tu kwa kila bet.ili Leo niamke na 300k.

Pundits waliniongopea.
Niliangalia squad ya Guinea ilivyoshiba na timu wanazotoka wachezaji wake, nikaringanisha na akina Balua.nikaweka IX& 4.5 Under.
Odds 1.27
 
Back
Top Bottom