Tuna organization yetu ambayo ina deal na mambo ya youths, tulikuja na idea ambayo inahusisha masuala flani ya transaction kupitia simu na hiyo idea tulijaribu ipush kwenye makampuni mbalimbali ya simu na tigo walionyesha interest ya kuinunua lakini hatukuwa tayari kuiuza ila tulitaka kutengeneza partnership nao jambo ambalo hawakuwa tayari.
Katika kuhangaika tukakutana na jamaa flani mkenya ambaye naye amedevelope application yake inayofanya kazi flani zinahusiana na mambo ya banking, yeye ndiye akatushauri tu develop system ambayo itakuwa na uwezo wa kufanya kazi tunayotaka ifanye, then tukisha idevelope yeye atatuunganisha na investor ili ku implement idea yetu.
Sasa lengo sisi ni tunahitaji maprogrammer kama wawili ambao watakuwa part ya team ikiwa na maana kwamba nao watakuwa ma share holder wa idea ili wadevelope hiyo system.
Sitaki kueleza kwa kina idea jinsi ilivyo lakini kwa wale watakao kuwa interested wanaweza kunipm au kinicheki via my email:
mway09@gmail.com Tuna organization yetu ambayo ina deal na mambo ya youths, tulikuja na idea ambayo inahusisha masuala flani ya transaction kupitia simu na hiyo idea tulijaribu ipush kwenye makampuni mbalimbali ya simu na tigo walionyesha interest ya kuinunua lakini hatukuwa tayari kuiuza ila tulitaka kutengeneza partnership nao jambo ambalo hawakuwa tayari.
Katika kuhangaika tukakutana na jamaa flani mkenya ambaye naye amedevelope application yake inayofanya kazi flani zinahusiana na mambo ya banking, yeye ndiye akatushauri tu develop system ambayo itakuwa na uwezo wa kufanya kazi tunayotaka ifanye, then tukisha idevelope yeye atatuunganisha na investor ili ku implement idea yetu.
Sasa lengo sisi ni tunahitaji maprogrammer kama wawili ambao watakuwa part ya team ikiwa na maana kwamba nao watakuwa ma share holder wa idea ili wadevelope hiyo system.
Sitaki kueleza kwa kina idea jinsi ilivyo lakini kwa wale watakao kuwa interested wanaweza kunipm au kinicheki via my email:
mway09@gmail.com