Looking for my soulmate and future husband

Joy nimepata ujumbe wako kweli mi mgen ila sina kamba mguuni
 
umri huo unaoutaka wewe utaishia kuchezewa tu. Wanaume wengu katika umri huo ni aidha wameoa tayari ama wana wapenzi wao.
 
rubii - Yes, i do not have. hongera wewe uliyenae!
 
Hamy-D - Hayo ni mawazo yako. But ungeniambia hiyo ni research gani ambayo ilisema hivyo; I guess umekurupuka tu. Ingawa haikua lazima ukomment on this post if u had nothing positive to say!
 
Nyalotsi - Hiyo ndio age & vigezo nilivyo vitaka mimi. Kama wewe ulichukua tu mwenza wako bila kuangalia chochote ni maisha yako. So, i guess choice yangu wala haikuhusu. Jamani; tuache negative thinking. Hata nikikosa au nikaenda kuchezewa ni mimi. Sioni inawauma nini watu wengine humu ndani!
 
Kama una mi-frustration yako ya maisha hujalazimishwa kukoment kwenye hii post. Unaweza ukapita tu!
 

haki unao .Unaemtafuta ndio mwenza wako kesho na ndio ufunguo wa familia yako ya kesho.Endelea kutafuta.pengine tayari hupo anakusibiri Lakini usikae mkali sana kwa vile utajiumiza moyo.Kumbuka dunia ya kisasa imejaaliwa kila aina ya wa sanii waume na wakike !!!!
Mungu akupe ushindi
 
Duu apo mi tayari nishakosa vigezo dah kwel wakubwa wanafaidi:confused2:
 

kama upo serious txt me on 0755485448
 

Kama huto jali PM
 
Je mfanyabiashara unamkubali?Maana umesema awe na kazi nawe muajiriwa,wengine tu ktk biashara unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…