Looking for job

Looking for job

emmy mlyuka

Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
20
Reaction score
22
Hello marafiki wa JF Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (imformation and communication technology) nna uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery, mwananyamala hospital nmb, magomeni hospital nmb kwa miaka kadhaa na nilishakua supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima hvyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yoyote ht customer care au supermaket kazi yenye kuniingizia kipato kizuri ASANTE
 
Mungu akutangulie inshaallah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom