princess jack
Member
- May 12, 2023
- 53
- 65
- Thread starter
-
- #41
Hawa wanawake wanao andika andika vingereza ngereza vingi vingi kwenye kutafuta mume.......
Hope ni wasumbufu waki ingia ndoani maana ntaitaji kufuliwa,kupikiwa,kunyooshewa nguo, kubrashiwa viatu, kupokewa nikirud nyumbani
Sasa yeye atakuja na mara 50/50 mara tugawane majukumu mara haki sawa....
YOTE NILIYO YAANDIKA IS NOT SERIOUSLY
Nilikua NATANIA TU [emoji4][emoji4][emoji851][emoji851][emoji851][emoji4][emoji38][emoji851][emoji851][emoji4]
Cha msingi hapa ni kurudi shule tu, maana kila mrembo anataka wa kuanzia sijui bachelor sijui nn
Nashangaa umepanic na makasiriko kibao πππππ€π€Sasa brother this life tafuta wa kuendana naye,mwanamke wa kutafuta naye au wa kumtafutia,choice is yours,mbona kama vile watu mna roho za kichawi jamaniii,lazima mje kuweka negativity hapa,i think kama upo interested unakuja pm,not interested una skip
Nashangaa umepanic na makasiriko kibao [emoji3][emoji3][emoji2][emoji4][emoji851][emoji851]
Mm natania wewe umetake seriously [emoji15][emoji15][emoji15]
Kila lakheli Mungu akupe hitaji la moyo wako....
Mimi nina sifa zote, mpaka masters ila sina hela, sina ajira wala sina biashara. Ni ungaunga mwana tu, kama hapa nipo nakomaa nifukuzie buku mbili la msosi mchana.
Hapo vipi?
Wanaume wa jf hawatoki mbinguni, ndo hao hao wa mtaani kwako, kazini kwako, na ndo hao hao unaokutananao small planet, kitambaa cheupe, warehouse, element, wavuvi.
Advantage uliyonayo ni kwamba wa huku hawakujui.
Oh ok, you mean i am hypocrite? That's your perception, i am for real and truth must be told, get yourselftogether and face it.Hayo ni mawazo yako brother tunatofautiana,as wewe unasema hivyo,pia kuna vijana wa mama wakwe pm,wewe ambaye huu utaratibu unakukwaza unafanya nini kuingia kwenye hili jukwaa si uende kwenye majukwaa ya siasa huko.stop be hypocrate
π€π€π€π€£π€£π€£πππSasa unataniaje kwenye mambo ya msingi kama haya,hivi unafikiri kuweka bandiko jf ni kitu chepesi.Muache masihara kwenye mambo ya watu.mimi nipo serious unaleta jokes,unanifanya nipanick mpaka watoto wa mama wakwe mwishowe wasije pm[emoji23][emoji23]
Oh ok, you mean i am hypocrite? That's your perception, i am for real and truth must be told, get yourselftogether and face it.
Mimi nataka tuanze kuchat Kwa umombo sawa lianzishe.....Basi asante kwa kujali
Haya semeni jingine,huyo sasa no child wala nini,mshindwe wenyewe...28years old female
Degree holder
Polite and very humble lady
Employed
Single With no children
Looking for
God fearing man
Polite and humble guy
Christian akiwa catholic itapendeza
Age from 30-35
Educated(akiwa na masters itapendeza)not important but kuondoa infiriority complex later on since i love education
Stable and Matured man who need to settle down
If you know you havent finish yet to play around please dont pm me,na Mungu awabariki.
Dont ask mtaani hawapo[emoji23]
I havent met him yet,so maybe yupo humu jf plz pm me.
Mimi nataka tuanze kuchat Kwa umombo sawa lianzishe.....
Comment Kwa comment [emoji4][emoji2]
Nimekumbuka mbali sana , princess jack