Looking for Future Hubby

Kumbe ni Katapeli haka ka Editha? Matangazo hii mara ya 3 au 4 duuh
!!
 
Kafate hiyo degree ikuoe
eti nina degree khaaa

Inaonesha we ni bomu sana yaani mtaani kwenu
Kanisani
Kijijni hakuna hadi wewe ndio unajitongozesha
Hii Ni Dunia ya Utandawazi,umekalia kukosoaaa.Wenzio wanapata humu humu Wewe kasubilie mtaani Na huko..Mnajidai kukashifi wenzenu wakati Pm.mnaenda.Kwendraaa?!!
 
Hii Ni Dunia ya Utandawazi,umekalia kukosoaaa.Wenzio wanapata humu humu Wewe kasubilie mtaani Na huko..Mnajidai kukashifi wenzenu wakati Pm.mnaenda.Kwendraaa?!!
Ona mjinga mwingine
haya we nae subiria uone kama utapata humu ndani
Mtaani kwenu mharibu afu mnakimbilia ni mida ya utandawazi.......
 
Ona mjinga mwingine
haya we nae subiria uone kama utapata humu ndani
Mtaani kwenu mharibu afu mnakimbilia ni mida ya utandawazi.......
Tayari zamaniiii tunajaza Dunia tu.Baki ivyo ivyo !!!!!!
 
Bila shaka hiyo fursa... nielekeze jukwaa.

Ila hiz taarifa zimekuaje zikapita kwanza kwako mzee au mambo ya MP?
Ha ha ha kuna jukwaa jengne zaid ya jukwaa lako sio MP mzee ilikua mahala kweupeee nenda chitchat na MMU
 
Ha ha ha kuna jukwaa jengne zaid ya jukwaa lako sio MP mzee ilikua mahala kweupeee nenda chitchat na MMU
Eti jukwaa jengine zaidi .

Mzee ukiona fursa zangu unanishikia hadi nakuja kikubwa usinisaliti tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom