Looking for friends in Singida

Looking for friends in Singida

Princessor

Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
9
Reaction score
7
Habari zenu marafiki,

Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa nia na madhumuni ni kutafuta marafiki kwa ajili ya kubadilishana nao mawazo ya kimaisha. mimi naishi singida ni mfanya kazi kwenye sector binafsi so najitegemea, umri wangu miaka 30 dini yangu mkristo,natamani kupata marafiki kutoka maeneo haya ninayoishi au karibu na hapa mikoa ya jirani. jinsia yangu mwanamke, ila marafiki wawe jinsia yeyote, umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Asiwe mshabiki wa CCM

Watakaopenda plz PM.

Asanteni
 
naruhusiwa kukuvisit geto kwako kila siku jioni afta work? If YES, count me in. If YES, njoo PM fastaa bfore sijaghaili. If YES, umenipata. If NO, umekosa a best friend ever!
 
Ni urafiki tu au na ma something something yamo

Hizo sifa zake alizotoa tu unajiongeza mwenyewe......

Naomba tu kuuliza, watu hua wanawezaje kua na urafiki wa kupanga au kuomba? Mie kwangu urafiki unatokea tu si amui kwamba natafuta rafiki, kwa maana hiyo rafiki kwa maana ya urafiki anaweza akawa mtu yeyote wa dini, kabila au umri wowote hiyo ni kwangu lakini na ikumbukwe inatokea tu kutokana na baadhi ya vitu yetu kuendana bila kupanga.
 
naruhusiwa kukuvisit geto kwako kila siku jioni afta work? If YES, count me in. If YES, njoo PM fastaa bfore sijaghaili. If YES, umenipata. If NO, umekosa a best friend ever!

Teh nimependa sera zako
 
Hizo sifa zake alizotoa tu unajiongeza mwenyewe......

Naomba tu kuuliza, watu hua wanawezaje kua na urafiki wa kupanga au kuomba? Mie kwangu urafiki unatokea tu si amui kwamba natafuta rafiki, kwa maana hiyo rafiki kwa maana ya urafiki anaweza akawa mtu yeyote wa dini, kabila au umri wowote hiyo ni kwangu lakini na ikumbukwe inatokea tu kutokana na baadhi ya vitu yetu kuendana bila kupanga.
Hata mie natafuta marafiki teh
 
Sitaki ku over take hapa kwenye kona
indelea mbio zako kwa huyu mnyaturu

ofkoz 'ku over take kwenye kona' ni kosa la kuchezea uhai. embu subiri tufike tambalale pasipo na kona ndo u over take, na najua utaweza fasta tu koz uwezo wa 'kum over-run' unao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom