Looking for Forex Mentor

kisogo

Member
Apr 10, 2013
60
46
Wadau natafuta mentor wa forex ambaye yuko Arusha.Nataka nijifunze hii biashara.

NB:sitafuti kununua signals wala mtu wa ku manage account yangu,nataka kujifunza forex.
 
Ningekushauru tu usome kwanza vitabu ndo utafute mentor kwa ajili ya kukubrash. anza na hivi
(1) forex bible
(2)naked forex na
(3)candle stick
 
Ingia www.ajiras.com kuna jamaa anajiita TechGuru anatoa mafunzo ya forex.

Yapo ya siku 8, 20 na siku 30.

Mcheki jamaa anayoa pindi fresh.
Best%20Forex.jpeg
 
Asante mkuu nishasoma soma kama hicho forex bible na baby pips pia
kila la heri mkuu ila nikushauri usikubali kukatishwa tamaa forex inahitaji elimu na maarifa zaidi kuliko mtaji, pia UVUMILIVU ni muhimu sana sana na baada ya hapo mafanikio yatakuja tu bila kujali muda.
 
Aisee mi nataka kudumbukiza dola 3000 kwa dada flani hapa Arusha ambaye ye yupo kwenye game la forex kitambo ila anachoniambia kuwa kila mwezi nitapata 30% ya faida yote coz in case of loss yeye ndiye ata incur the loss.
Najaribu kusoma soma hapa hii biashara ili nami nipate ujuzi kidogo
Seriously nataka kuifanya hii ishu
 
Mentor unaitwa hukuuu.....

Kama nimekosea basi msalimie the little one, copycat Ebby.

Cheers.
 
For telegram user

Anayehitaji kujifunza
*forex basic
*advanced course,candlestic pattern and physology behind its formation
*Supply and demand strategy

ajoin telegram chanel

👇🏽
https://t.me/forextanzania
 
Kwa watumiaji wa TemplerFx Tuma email hii sasa bila kuchelewa"tuma email kwenda support@templerfx.com,andika ivi please make my account under the agent 123796 my account no is andika no yako ya account ya mt4 bila password.Spread the Love. kwa maelekezo zaidi nicheck +255767913761(whatsapp only)
 
Back
Top Bottom